Usicheze na neno la Mungu weweee.
Chezea vyote lakini siyo neno la Mungu.....
Zisingewezekana bila wewe kuanzisha uzi huu. Ndiyo maana hata wakikutoa kama founder wa uzi huu kwetu sisi haitabadilisha cho chote !!!asante mkuu nitaleta mrejeso lakini hongera kwa hizo likes
hahahahahaUtachangua moja kati njia zifuatazo ili uweze kupona!
1.[emoji378] [emoji378] [emoji378]
2.[emoji419] [emoji375]
3.[emoji379] [emoji379] [emoji379]
4.kulitegeshea tunalikanyaga kwa gari ama trekta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kabisa, hata mimi usinisifie sana,kukubadilikia hata dakika haiwezi kupita.Ni imani yangu kuwa sikuamini kwa hatua zozote za kujisafisha kwa kutumia gospo, wewe ni mharibifu... Period.hahahaha
safi sana
usiwe kama hayo wenye mioyo ya tomaso
hahahahaha hahaha wewe mzee bhanaSawa kabisa, hata mimi usinisifie sana,kukubadilikia hata dakika haiwezi kupita.Ni imani yangu kuwa sikuamini kwa hatua zozote za kujisafisha kwa kutumia gospo, wewe ni mharibifu... Period.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Sawa kabisa, hata mimi usinisifie sana,kukubadilikia hata dakika haiwezi kupita.Ni imani yangu kuwa sikuamini kwa hatua zozote za kujisafisha kwa kutumia gospo, wewe ni mharibifu... Period.
Nakusalimu hani....Zisingewezekana bila wewe kuanzisha uzi huu. Ndiyo maana hata wakikutoa kama founder wa uzi huu kwetu sisi haitabadilisha cho chote !!!
jiandae kuripoti central
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaa wapi. Si ajabu hata hizi gospo ni gheresha za kuingilia zizi la mtu. Na kama unacheza na Neno cha moto utakiona wallahi. Ushindwe na ulegee !!!