mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu upo kama vile utuoni post yako wameitoa kwa ninimkuu samahani kwa kuchelewa kukujibu, hata mimi nimeona tatizo hilo baada ya kuingia soon. ntawa pm mods waliangalie hilo tatizo
Mkuu upo kama vile utuoni post yako wameitoa kwa ninimkuu samahani kwa kuchelewa kukujibu, hata mimi nimeona tatizo hilo baada ya kuingia soon. ntawa pm mods waliangalie hilo tatizo
HahahahahaUtachangua moja kati njia zifuatazo ili uweze kupona!
1.[emoji378] [emoji378] [emoji378]
2.[emoji419] [emoji375]
3.[emoji379] [emoji379] [emoji379]
4.kulitegeshea tunalikanyaga kwa gari ama trekta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Samehe saba Mara sabiniNakuombea sana mkuu, umefanya uharibifu mkubwa sana,naamini ukitubu kwa dhati ya moyo wako utasamehewa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante kwa kumshitua nabii wa likesanhaa poapoa kiongozi
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Kweli kabisaUsisahau kutupa mrejesho mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi ni mtu asiyejulikana !!!jiandae kuripoti central
Aminia mkuuasante mkuu nitaleta mrejeso lakini hongera kwa hizo likes
[emoji817] [emoji817] [emoji818] [emoji818]Zisingewezekana bila wewe kuanzisha uzi huu. Ndiyo maana hata wakikutoa kama founder wa uzi huu kwetu sisi haitabadilisha cho chote !!!
Maliyatabu
nawaona sana mkuu,nimeona wameondoa post yangu ile ya juu ila niwewatumia ujumbe wafanye marekebisho ili tuendelee kuchit chat. hingereni majogoo kwa kuwaaibisha the gunners. nataka unitajie siri ya zile tano bilaMkuu upo kama vile utuoni post yako wameitoa kwa nini
hahahahaMimi ni mtu asiyejulikana !!!
Hahahahahanawaona sana mkuu,nimeona wameondoa post yangu ile ya juu ila niwewatumia ujumbe wafanye marekebisho ili tuendelee kuchit chat. hingereni majogoo kwa kuwaaibisha the gunners. nataka unitajie siri ya zile tano bila
Lipi hilo mkuuhahahaha
hawa watu wasiojulikana sasa hivi wanajina jipya