hahahahanawaona sana mkuu,nimeona wameondoa post yangu ile ya juu ila niwewatumia ujumbe wafanye marekebisho ili tuendelee kuchit chat. hingereni majogoo kwa kuwaaibisha the gunners. nataka unitajie siri ya zile tano bila
Naona migomba migomba tu wapi hiyo location
Watu wanao washwaLipi hilo mkuu
Una jicho la mwewe haswaaSamehe saba Mara sabini
Hawakukosea,.Maliyatabu
haaaa haaa haaaa ile inaitwa jiwe kwa chumaHahahahaha
Acha kabisa wanasema hukumu ni hapa hapa dunia tulimpa mtu risasi NNE jamaa wasiojulikana wakatupiga risasi Tano[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee uwe unakuja mara kwa mara mkuu uendeleze safari uliyoianzishawakuu jakitoo mzee wa liver SHIMBA YA BUYENZE Bob12 ho chi minh tang'ana Joseverest MBITIYAZA Beira Baby Boy na wengine wengi natambua uwepo wenu tupo pamoja