Kawalala93
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 400
- 1,587
japo likes zimeanza kua za kusuasuaHuu uzi umeweza kutuleta pamoja kwa hiari yetu. Amen
japo likes zimeanza kua za kusuasuaHuu uzi umeweza kutuleta pamoja kwa hiari yetu. Amen
Kwa kweli
Sherehe zote, na wanajua watu wangu, ukitaka nikuchangie zawadi sileti, ukitaka zawadi, mchango sitoi.Sherehe gani ukiletewa kadi ya mchango unakereka,harusi,sendoff,kitchen part y,kipaimara,birthday party,graduation party?
Mie birthday parties ni kero mno
Mmh! Not to this extent pls.If Earth was constantly spinning, aeroplanes would never be able to reach their destinations due to the 500mph headwind. "Earth is flat"
Kwa sababu leo weekend imeanza watu wanajiachia....japo likes zimeanza kua za kusuasua
[emoji23] [emoji23]Sijashiba futari leo bora nile like tu
Mkuu vipi. Natoa like kwenye page ambazo sikuwepo nipo busy sana kuwakuta huko mlipoMkuu uniq
Ni uonevu! Sipendi hii kabisa!Tuukatae ujinga huu![]()
IndeedHakuna waziri muongo kama muhongo
Watching movie, football, game especially football reading and music.What about you?