myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mpira umeanza wapi numbisa..
Carba kalengwa siku nyingi sana, nsamaka tayari, wanaanzaga sijui na cha sugu?????Halafu andaeitiini lakini anapiga story za wahenga tena kwa undani kabisa tena ule authentic kabisa. Inatia shaka. Na Carba mwenyewe nadhani yuko kwenye radar. Na kwa vile Cole anaonekana humu kwa nadra siku hizi sitashangaa andaeitiini kama akilonchi fulu revolusheni !!!