Siku hizi nadra sana....
Huyu naye. Kwa logic yake hii ina maana michepuko ndo iteki ova ama? Ashindwe na alegee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
This is the measure of a man's character and integrity !!!
Gold plated. Liyatch lizima? 4+ Billion $. Halafu unakufa unaliacha? Kama hili ni la kwangu haki ya nani nagoma kufa mpaka kieleweke !!!
Afadhali hata hawa wanapambana na hali yao !!!
Duh!