Wachina ama?
Nilishafika hapo. Engineering marvel hasa ukizingatia kuwa ilijengwa zamani tena kwenye active plate tectonic zone.Haswa ujakosea kiongozi
Niletee liroketi loncha limoja au ei kei fote seven sita [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee safi sana naelekea somalia
nikuletee zawadi gani?
Niko peke yangu. Naomba nisilaumiwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu kwenye chama mkuu [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Wacha nikusaidie kiongozi
Karibu kwenye chama mkuu [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]