Habari yako numbisaMmea huu kwa mara ya kwanza uligundulika ktk karne ya 11 huko ktk miinuko ya ethiopia barani afrika na kupewa jina la utani kama (magical fruit) mmea huu ulianza kutumika kama dawa na tiba kwa ajili ya magonjwa mbalimbali.
Kahawa imegawanywa ktk mimea ya aina mbili kuu yaani Robusta na Arabica licha ya kuwepo zaidi ya aina 12 za mimea hii,Aina ya robusta inamea zaidi maeneo ya afrika na ile ya Arabica inastawi zaidi maeneo ya mashariki ya kati,Arabica ndio kahawa bora zaidi duniani kuliko ile ya robusta.
Nipo bebi majukumu tuu hata kushika simu samutaimuzi naona nzito.Pamoja ndugu. Kaa tu mbali na mazizi ya watu. Baby wangu sijamsikia tangu juzi. Una habari zo zote kumhusu? Isije ikawa umeenda naye Mogadishu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu malkia mgonga likes mashuhuri tumemiss hapaMahindi choma kwa ndimu