Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mnamo mwaka 1979 japan ndio lilikuwa taifa la kwanza kwa kuwa na simu na mitandao iliyoenea nchi nzima ikifuatiwa na denmark,sweden,norway na finland ktk miaka ya 1981.

Hata hivyo mitandao na simu ziliendelea kuboreshwa na kuongezwa matumizi zaidi kadri siku zinavyosogea hadi sasa tuko ktk mifumo ya kisasa kama Android,window phone n.k,kwa upande wa mitandao hasa mtandao buibui (internet) ilitoka ktk 0G 1973,2G 1983,3G 1993 na mwaka 2012 kuingia ktk 4G.
 
Hahaaa, we andjul matata sana! Maua nini bana, Yale si majani tu yakhe! Huyu mkoromije akishirikiana na wewe mnamnyanyapaa sana andaeitini! Halafu leo wapi nsamaka, wapi @carba
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ona sasa!!! Bado unawatafuta hao mabinti?
Kweli wewe chasugu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom