Nilichukia sana German kukosa mwaka huu walikuwa na kikosi bora sana
Huu ulikuwa mwaka wa Spain haitokea tena
Poa mkuu
Wanajua bible hawa acha kabisaMashaidi wa jehova
CantstopwontStop
NiniKupeana. Com
CantstopwontStop
AMUN RA12:53
Mimi nadhani watu wana hasira na hawana mahali pa kuzitolea. Ndiyo maana wakati mwingine mikutano ya kisiasa na maandamano ni muhimu - watu wanakutana hukoo wanatema nyongo na maisha yanaendelea...Sasa hivi ni kama livolkeno fulani hivi limelala linatokota mumo kwa mumo tu...PompeiiiiYaani member wanatukana aisee sijui Kuna shida gani aisee
CantstopwontStop
UpogoBodak Yellow[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
HahahahahaHahahaha [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Yegomasika analinyatia zizi la Cole[emoji3] [emoji3] muhenga yego
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kuwa macho wewe na Bob mtaleta madhara makubwa sana katika mazizi ya watu hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...and the scary thing is that you two are real real smart from your silent (but deadly) approaches and flawless execution of your revolutions. Mnatisha !!!
Katika karne hii watu bado wanajivunia uchawi. Huyu Zitto ni yeye peke yake aliyeaga nyumbani hakuna mwingine? Mianasiasa uchwara !!!