Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani member wanatukana aisee sijui Kuna shida gani aisee

CantstopwontStop
Mimi nadhani watu wana hasira na hawana mahali pa kuzitolea. Ndiyo maana wakati mwingine mikutano ya kisiasa na maandamano ni muhimu - watu wanakutana hukoo wanatema nyongo na maisha yanaendelea...Sasa hivi ni kama livolkeno fulani hivi limelala linatokota mumo kwa mumo tu...Pompeiiii
 

Hahaaa... You made my day, Mwanawane! Mimi kwa upande wangu sina makuu kabisa, an innocent andaeitini boy still learning the hunting techniques/skills! I'm not a smooth operator, Brother! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…