Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika namba za kirumi namba yoyote ndogo ikikaa nyumba ya namba kumba inakuwa ina punguza idadi, mfano:
M ni 1000
C ni 100ukiweka C nyuma ya M yaani CM = 900
IV = 4
Na ukiweka namba ndogo mbele ya kumba unaongeza mfano:
MC = 1100
VI = 6
Kwahiyo;
600 = DC
90 = XC
9 = IX
699 =DCXCIX
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…