Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aaa wapi! Hawaruhusiwi kujisomea Bible na kuielewa wenyewe na tafsiri zote ni lazima zitoke makao makuu Brooklyn New York. Tafsiri hiyo ndiyo inabidi waende wakaifafanue wanapokwenda kusaka wokovu wao nyumba kwa nyumba kila Jumamosi. Na Bible wanayotumia ina tofauti za msingi sana na Bible ya kawaida. Yesu wao pia ni tofauti mno na wa kwenye Biblia...

Anyway, tuache mambo ya imani za watu hapa ...Waiter, likes for likes please....
Kuna jamaa nilisomanae A level aisee alikuwa ni Mbishi sijawahi kuona
 
Mkuu jembekilo, from pande za mji kasoro bahari, mji wa kijanja, mkoa uliobarikiwa neema ya chakula cha kila aina. Mkuu tunakuheshimu, Tunakupenda sana. Mkuu Piga kambi ya kudumu hapa ili tuboreshe likes zako na pia tufurahi pamoja hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja sana na mkuu jembekilo jembetani
 
Back
Top Bottom