Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8ef9e0c0a4f9eb67924b8dc3a9c4b635.jpg
 
Kweli kabisa. Ile hali ya kusifiwa mitandaoni inazuzua wengi

Mmh ndoa ya kimila nayo ngumu bana na ni wachche mno wanaozifunga
Sherehe zote zinazofanyika kwa sasa show off. Watu wanataka wapigwe picha wazimwage kwenye mitandao ili wapate likes na kusifiwa tu. Hasara iliyo tokana na sherehe wala hawajali, muhimu ana picha za kumbukumbu kwenye mitandao. Mimi nimegoma kwenda kanisani, ya kimila itatosha kabisa.
 
Back
Top Bottom