Aii!!! ISIS mbona mapema mama?Gd9t Asante kwa likes
BoraTutakupa likes nyingi kufidia muda ambao hautakuweo
Hahaa nashukuru Hance Mtanashati pokea like ya upendo hiyoCarbamazepine nimetokea kukukubali sana natamani uwe ndugu yangu wa hiyari kama diamond na Halima Kimwana
Sherehe zote zinazofanyika kwa sasa show off. Watu wanataka wapigwe picha wazimwage kwenye mitandao ili wapate likes na kusifiwa tu. Hasara iliyo tokana na sherehe wala hawajali, muhimu ana picha za kumbukumbu kwenye mitandao. Mimi nimegoma kwenda kanisani, ya kimila itatosha kabisa.
Hope iwe hivyoWeaving na wigi siwezi joto mno pia yanawasha jaribu kuchunguza wenye weaving muda wote kujipiga piga kichwan
Utamata tu hasa wasabato mkuu