mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahaha aisee bob 12 aliona hii post[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nawakumbusha Tu kuwa Leo ni Futuhi
HahahahahaHapana shemeji. Nikiona himaya ya mdogo wangu inanyemelewa ni lazima nitoe tahadhari. Tena siku hizi waharibifu wanakuja kwa mbinu nyingi mbalimbali from gospoz, usingo faza, uandaeitini, kujifanya nyuki wa mashineni n.k. Kusema kweli kwa wenye mazizi hapa si mahali salama tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana nsamaka.Niko naumwa umwa kidogo, mwaka juzi nilipata ajali sasa naona tangu wiki iliyopita viungo vyangu vimegoma kbs hasa miguu. Sina rah ndio maana sionekani sana humu.
Yupo malkia kwa kweli Kazi nyingi anawamiss sana atakuja muda si mrefumzee wa liver wapi ISIS mkuu
Poa poa Boss.Yupo malkia kwa kweli Kazi nyingi anawamiss sana atakuja muda si mrefu