Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shemeji we ni mchochezi kumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana shemeji. Nikiona himaya ya mdogo wangu inanyemelewa ni lazima nitoe tahadhari. Tena siku hizi waharibifu wanakuja kwa mbinu nyingi mbalimbali from gospoz, usingo faza, uandaeitini, kujifanya nyuki wa mashineni n.k. Kusema kweli kwa wenye mazizi hapa si mahali salama tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom