Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
V948
Hujambo mamaaaHahahha jamani hiyo chasugu ni salamu tu.
Ulikuwa usiku wa manane huo niki logout maana huwa nikisahau wanashikaji wengi wanashika haka kakimeo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hutupati tena na bango lako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakina nani MkuuYaani watu wabaya humu hatari! [emoji23][emoji23][emoji23]
Likes za uzi huu zinahatarisja ndoa za member wakeUsiku na mchana mvua na Jua
Haitakuwa haki
HahahahahaNa hii yote ni kwa ajili ya andjul, ndio kaliamzisha! SHIMBA YA BUYENZE akalikoleza na mafuta ya ndege! [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe sio miongoni mwao kweli?
KweliOppss hatimae ka uzi kamerudi sawa
Mkuu habari za MogadishuHii sampuli naielewa sana
pini safi kabisa
Mbwembwe gani mkuu nilikuwa na logout tu nalala hapoAcha mbwembwe wewe
Kk[emoji23]
Nipo mkuu kwema kiongoziKk upo mkuu