Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
V881
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Historia jamani, mtu kumjua Mkwawa; baba mzazi wa Adam Sapi haimaanishi kwamba ulicheza chandimu na Mkwawa! [emoji23][emoji23]
Yego ni muhenga
Mkuu tutaanzisha Chama chetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hutupati tena na bango lako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]