Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

f6d9c38e6e6fde111459a3f1987ee56f.gif
 
Bukima kikwao ni ugali kama sijakosea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mambo yamebana, naingia humu kwa machale siku hizi! Nimekutana na tuhuma za watu wawili humu! SHIMBA YA BUYENZE na andjul, jamani eeh; Muacheni andaeitini awe andaeitini! Hana madhara huyu, na wala siyo mtu hatari! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yego si wamempachika uandaeitini. Wanamsingizia?
Wanamsingizia, yego ni mhenga wa zama, alikuwepo zama za Market Street , kabla ya Indira Ghandi street. pia Yegomasika tulikuwa naye zama za INDEPENDENCE AVENUE, kabla ya SAMORA AVENUE.yeye ni shahidi. aje mwenyewe akanushe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Historia jamani, mtu kumjua Mkwawa; baba mzazi wa Adam Sapi haimaanishi kwamba ulicheza chandimu na Mkwawa! [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom