Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haka kajamaa haka nako kanafiki haka. Kenyewe watu walikuwa wanapotea tu au kanakutia kizuizini miaka na miaka. Eti zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sheria ya kuweka watu kizuizini iliumiza wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
70d5b76eaa8eb371a812204461f604b9.jpg
 
Back
Top Bottom