Za masiku poa, mnaendeleaje humu!?Good morning babe s,za masiku?
Hahahha jamani hiyo chasugu ni salamu tu.Carba kalengwa siku nyingi sana, nsamaka tayari, wanaanzaga sijui na cha sugu?????
Hahahha jamani hiyo chasugu ni salamu tu.
Yaan hiyo chasugu washaipa maana ingine kbs hahahha dahYaani watu wabaya humu hatari! [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan hiyo chasugu washaipa maana ingine kbs hahahha dah
Hahaaaa hawa wahenga noma sanaNa hii yote ni kwa ajili ya andjul, ndio kaliamzisha! SHIMBA YA BUYENZE akalikoleza na mafuta ya ndege! [emoji23][emoji23][emoji23]