Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8716b3882b389aedf5ab616e1c020fe5.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maadui wakubwa wa ndege ni binadamu, nyoka na ndege wengine. Wapo ndege ambao ni waharibifu kama vile kwelea kwelea ambao hula mazao mashambani, kunguru weusi wanaochafua mazingira kwa kusambaza magonjwa.
Hivi kuna kitu ambacho binadamu siyo adui wetu? We are the most destructive species on this planet. Yaani kujaliwa Medula Oblongata kubwa basi ishakuwa nongwa. Kama hiyo haitoshi sasa tuna uwezo hata wa kuji-nuke na kujifutilia mbali sisi wenyewe. We are a threat to our own existence. Now think about that !!!
 
Back
Top Bottom