ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Bro, si unaona sasa? Cheo changu bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ule wa lisu?mods wako makiniNa leo pia,kuna mtu kaweka uzi umezua mshtuko. Shukran mods wameufuta
Somalia. Bob yuko huko anasaka mama wa kambo wa Viv.....
Tuombe bila kukoma.Na leo pia,kuna mtu kaweka uzi umezua mshtuko. Shukran mods wameufuta
Sijambo kwakweli,majukumu tuHahaa... Nipo bana! Andaeitini is in biiiiiig trouble! Tusubiri mwongozo toka kwa andjul na SHIMBA YA BUYENZE! Hujambo lakini? Tulikumisimo aisee! [emoji23][emoji23][emoji23]