Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6030fdf688aeb91724436fef8cd90d53.jpg
 
Mkuu, za kupotea kidogo? Consuela wako anakujaga hapa anakuulizia tunakutafuta weee wala huonekani. Punguza cha Kingston mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku mbili tatu hizi nilikuwa naumwa, katika kutafuta tiba nilikiwa nahangaika hospitali mbali mbali, nilikuwa nahisi kama vidonda vya tumbo but niko poa, bangi mbaya sana.

"Nakwenda Swaziland, a.k.a Mswati IV"[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom