carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nawasalimu kwa salamu ya upendo
Je wajua kuwa magema ya maporomoko ya steigler " Steigler gorge water fall" ndipo ulipo kufa mto Ruaha na kuanza mto Rufiji mara baada ya kuungana na mto mwingine mkubwa wa Kilombero?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hata mimi umenisamehe[emoji3] [emoji3] nashukuru mkuu andjulAmeomba msamaha? Kwa vitisho vya huyo Kiduku?
Nilimsamehe kama nilivyo kusamehe wewe, ila Bob12 ni jeuri wa asili
Sina uhakika sana kama nimekusamehe mkuu, nyie ni pasua kichwa.Salaam yenu mnaitana mpenzi sijui jirani...Kumbe hata mimi umenisamehe[emoji3] [emoji3] nashukuru mkuu andjul
Sent using Jamii Forums mobile app