Moustpher
Member
- Sep 14, 2017
- 6
- 26
Yeah! Niliwahi kuwa naye mahala ilikuwa shida. Jamaa anasoma tu notisi na kuelezea concepts hawezi lakini subirisha mitihani yake sasa. Darasa watu 80 A wanapata watatu tena wasichana tena wote wana mamisa......Hovyo kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu kama hawa ni wabaya kwenye mitihani mana wanatunga maswali magumu kama wanakukomoa vile[emoji57]
Na wewe toa likes ulizokuja nazo. Unatoa unapewa. Karibu sana !!!
Anapigia picha tuHuyu na mzinga huu wa konyagi ya Warusi vepe???????
![]()
Alikuwepo leo asubuhi nilisalimiana naye. Actually alishusha parabo moja kali sana kwa ajili yako. Majukumu....Cole Williams popote ulipo salamu hizi zikufikie
Unamisika huku mana si kwa ukimya huu
[emoji23][emoji23][emoji23]kuna mmoja hivi ufundishaji wake unafanana na huyo unaemsemea alitoa pepa darasa zima tuli sap,sitakaa nimsahauYeah! Niliwahi kuwa naye mahala ilikuwa shida. Jamaa anasoma tu notisi na kuelezea concepts hawezi lakini subirisha mitihani yake sasa. Darasa watu 80 A wanapata watatu tena wasichana tena wote wana mamisa......Hovyo kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]