Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Pole sana nsamakaNiko naumwa umwa kidogo, mwaka juzi nilipata ajali sasa naona tangu wiki iliyopita viungo vyangu vimegoma kbs hasa miguu. Sina rah ndio maana sionekani sana humu.
Sijawahi nasikia ina mashart kibaoUshatumiaga ya TTCL wewe
CantstopwontStop
Aiseeh!pole sana kipenzi Mungu akufanyie wepesi akuponye kabisa urudi kwenye mihangaiko yakoNiko naumwa umwa kidogo, mwaka juzi nilipata ajali sasa naona tangu wiki iliyopita viungo vyangu vimegoma kbs hasa miguu. Sina rah ndio maana sionekani sana humu.
Shikamoo muhenga[emoji23]Kwako, unauliza nini?