mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Habari za asbh TANZANIA
Pole Sana nsamaka Mungu ni mwema atakupa uzima na afya njema utakuwa Sawa. You are missed piaNiko naumwa umwa kidogo, mwaka juzi nilipata ajali sasa naona tangu wiki iliyopita viungo vyangu vimegoma kbs hasa miguu. Sina rah ndio maana sionekani sana humu.
Nilipita kwenye siasa ndio nikakutana na hayoDaaa, imekuwaje hiyo kiongozi
Haya hayaaaaa.... Kumekucha sasa, A-town nako motoooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Safiii Carba...jaman c uniruhusu ata nije nikusalimu kwa Pm?Hahahaaaaa
Kwako, unauliza nini?Hiyo ni ya.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante shemejiPole Sana nsamaka Mungu ni mwema atakupa uzima na afya njema utakuwa Sawa. You are missed pia
CantstopwontStop