Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Natamani niwe na hayo macho yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ili nipate kutambua waharibifu wote wa humuWeeeeeee!! Weeeeeee!!! Asiye kujua nani?
Gudi moningi carba....CHAWAMITAView attachment 588352
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...He is the one and only, SHIMBA YA BUYENZE!
Umeamkaje mwenyekiti[emoji23][emoji23][emoji23]Gudi moningi carba....
Ndo lengo mojawapo la uzi huu. Tunataniana tunacheka tunakula likes na mambo yanakwenda. Anayekwazika anasema anaacha kutaniwa; na anayetaka kuonja povu anatest zali jukwaa la siasa halafu anarudi huku kawa mpolee. Nafurahi kama umecheka shemeji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii comment imenifanya nicheke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safiii Carba...jaman c uniruhusu ata nije nikusalimu kwa Pm?HahahaaaaaTupo Mark,habari ya kuadimika