Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Na atashinda kesi...na kulipwa mamilioni ya dola
Na atashinda kesi...na kulipwa mamilioni ya dola
Halafu dogo ulisababisha interview igeukie kwangu ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muda wote ambao nipo free nakesha humu huyo naniii angekuwa kakimbia we dogo. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Upo wapi??[emoji23][emoji23]Nipo tu
Yawezekana ikawa ni PR kumchafua jamaa. Wanazificha za nini?
Kwani hawazalishi Tena?Golden tigers. Wamebakia 30 tu dunuani kote. Ngozi yake mpaka milioni mbili dola....
![]()
Pilika pilika tu mama, ila kila nikija nawakuta mna BUYUKA kuleee wewe,kakaako KK na Numbisa, nawaangaliiiiaaa....Kwema kabisa,sijui huko uliko
Naona unabanwa kweli siku hizi,pole
Yap nimepata tetesi, lakini Sina shida na wewe I trust you 200%Kesi ishafika mezani kwako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi huu una mibaraka sana. Consuela and Antonio. What a beautiful couple [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Am your Consuela....
Msaidie shemeji yako.Ila me ni muhamasishaji tu[emoji12][emoji12]
Kamwambia hana madhara[emoji23][emoji23][emoji23]Andaeitini amejiteteaje? Yeye ni nyuki wa mashine ama? Naona Bob anamfundisha mambo mabaya huyu mtoto kha !!!