Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

89ccd453d68799b63f1426d3c9655490.jpg
 
I challenge you to televize your next revolution...then...

Smoooth chita cha mtoto. Swala kuja kushtuka vu bin vu laivu unaye shingoni and she is gasping for air. I salute you sir [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii comment imenifanya nicheke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nadhani watu wana hasira na hawana mahali pa kuzitolea. Ndiyo maana wakati mwingine mikutano ya kisiasa na maandamano ni muhimu - watu wanakutana hukoo wanatema nyongo na maisha yanaendelea...Sasa hivi ni kama livolkeno fulani hivi limelala linatokota mumo kwa mumo tu...Pompeiiii
Inawezekana bro maana watu wanaporomosha maneno mazito kweli kweli kisa umeshindwa post anachokipenda yeye
 
Back
Top Bottom