Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Weeeeeee!! Weeeeeee!!! Asiye kujua nani?
Ndo maisha hayo. Ni mzunguko usio na fundo. Huzuni ndani ya furaha and vice versa....Wakati mazizi mengine yanavunjwa,mengine yanajengwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila inapendeza
Life styleRich gang
Sad. Very sad. Mungu Amtie nguvu. Mavimbunga haya siyo mchezo na wakisema ondokeni kweli ondoka tu. Unakaidi halafu kuja kushtuka nyumba imejaa maji na huna pa kukimbilia. Very scary...