Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

We shemeji wewe. La kwangu minyufa ipo ila napambana. Mbomoaji anasema yuko Somalia. Akirudi na shehena ya ei kei fote seven, maroketi loncha na ma mig twenti faivu huko basi nyufa si nyufa tena bali hata kifusi hakitaonekana. Let's hope for the best shemeji !!!

La Andjul niliona. Dada mwenyewe aliposema kuwa eti kawekwa sokoni basi nikajua kwamba wi havu e biiiigi purobulemu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ashindwe kabisa
 
Kwa kawaida Nyumbu wenye mng'ao bluu au kahawia wanapatikana zaidi Afrika ya Mashariki katika nchi za Tanzania na Kenya na nyumbu wa maeneo haya ni wakubwa kwa umbo, pia nyumbu hupatikana upande wa kusini mwa Afrika katika nchi za Zambia, Zimbabwe, Msumbiji, Afrika Kusini, Sawaziland na nchi ya Angola.
 
Si Nyumbu wote wanatabia ya kuhamahama na nyumbu wenye mng'ao bluu au kahawia ndiyo wenye utamaduni wa kuhamahama kutoka sehemu moja na kwenda sehemu nyingine na huwafanya kuwa kivutio kikubwa kwa watalii wakati wa msimu wa kuhama na kwa kawaida wana uzito wa kg 250.
 
Nyumbu weusi kwa kawaida wana uzito wa Kg 180 tu na hawana tabia ya kuhamahama hovyo na huwa na eneo maalum kwajili ya malisho na nyumbu dume hupenda kutawala eneo wanaloishi ,ni jambo la kawaida kwa nyumbu dume wasio na majike hutengeneza kundi lao na ni kawaida kwao kuzurula hovyo.
 
Wanyama hao aina ya Nyumbu hususani wenye mng'ao bluu au kahawia kwa kawaida huishi katika makundi makubwa sana na wanapatikana zaidi katika mbuga ya wanyama ya Taifa ya Serengeti nchini Tanzania, hifadhi ya Taifa ya Maasai Mara nchini Kenya pamoja na mbuga ya wanyama ya Taifa ya Liuwa Plain nchini Zambia na madume hutawala kwenye kundi na madume yasiyo na majike hutengeneza kundi lao.
 
Back
Top Bottom