Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1505336334929.jpg
 
Ndo maisha hayo. Ni mzunguko usio na fundo. Huzuni ndani ya furaha and vice versa....

Zizi la nani limevunjwa komplitili?
Kuna la andjul liko kwenye oxygen[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi lako liko salama eeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna lililovunjwa kabisa sema mengi yana nyufa[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kuna la andjul liko kwenye oxygen[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi lako liko salama eeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna lililovunjwa kabisa sema mengi yana nyufa[emoji125] [emoji125] [emoji125]

We shemeji wewe. La kwangu minyufa ipo ila napambana. Mbomoaji anasema yuko Somalia. Akirudi na shehena ya ei kei fote seven, maroketi loncha na ma mig twenti faivu huko basi nyufa si nyufa tena bali hata kifusi hakitaonekana. Let's hope for the best shemeji !!!

La Andjul niliona. Dada mwenyewe aliposema kuwa eti kawekwa sokoni basi nikajua kwamba wi havu e biiiigi purobulemu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikimbia ningetokea yangekuwa makubwa aiseeh.
Nikaenda kufanya furugu na jose interview nyingine [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wamenikalia kooni ujue hadi nashindwa kupumua[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema mlichofanya na jose leo,muosha masefuria kawaona[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambia jose mda wake huu aende
 
Nyumbu anatajwa kuwa ni mnyama mwenye uwezo mdogo wa kufikili na katika maisha yake ya kila siku hupenda kujichanganya na wanyama wengine kama pundamilia, nyani wakubwa na baadhi ya ndege wakiwemo yangeyange kama kinga ya kumwezesha kumwepusha au kumshitua na maadui.
 
Maajabu ya Nyumbu hawana utamduni wa kusaidiana pindi mmoja wao anapokamatwa na adui, na wanapofukuzwa na adui kila mmoja hutumia jitihada binafsi za kujiokoa mwenyewe lakini ni mara chache mtoto anaposhambuliwa na wanyama wadogo kimaumbile kama chui ama fisi hupambana naye kuokoa maisha ya mwanaye.
 
Back
Top Bottom