Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

5.jpg
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya wao na sisi. Wewe dude liko tu huko angani for twenty years, sisi hata plan ya miezi sita hatuna! [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini sisi tunaweza kuruka kwa ungo - shattering almost all of the thermodynamics, aerodynamics and other laws of physics known to man. Imagine mtu unaruka tu bila source of energy hakuna cha propulsion wala nini. Sisi ni shida basi tu...

Kwema lakini?
 
Back
Top Bottom