Sisi bado tunapimana mikojoWenzetu hao. Wanahaha kutafuta mahali pa kukimbilia mambo yakibumburuka kwenye haka kasayari ketu !!!
JibapaChezea andjul wewe! Huwezi kumuelewa huyo, na hivi leo Ijumaa, pengine yuko safi sasa hivi! [emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha yenyewe ni lunch toshaNataka nimtoe mtu lunch...
Mhhhhonly female mosquitoes bite
Lakini sisi tunaweza kuruka kwa ungo - shattering almost all of the thermodynamics, aerodynamics and other laws of physics known to man. Imagine mtu unaruka tu bila source of energy hakuna cha propulsion wala nini. Sisi ni shida basi tu...Kuna tofauti kubwa sana kati ya wao na sisi. Wewe dude liko tu huko angani for twenty years, sisi hata plan ya miezi sita hatuna! [emoji23][emoji23][emoji23]