Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Shemejiii.... Taratibu nanii asije aka....Andjul, njoo huku umekumbukwa. Una bahati ya mtende kukumbukwa kumbukwa na mabinti wa Kisukuma...
Bageshiiiii....
Mkuu pole [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenyewe niliwakimbia mzee wa liver na Ruta.Leo ni Jumamosi. Mko wapi bandugu? Niko peke yangu hapa na haya ma namba tu hapa? What's going on? Hamjambo?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Natamani hasira za man city ziishie hapo
Unaogopa nini sasaShemejiii.... Taratibu nanii asije aka....
Selekishoni bado shemeji?Hahahahhaa! Shimba we.....