Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nitarudi baadaye kukichangamka. No likes, no nothing. Akina Carba na Numbisa sijui wako wapi. Si ajabu wapo somewhere wanafakamia ubuyu. Ngoja niende jukwaa la siasa nikaoge povu kidogo. Post kumhusu TL halafu niseme something negative then nisikilizie muziki wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
391548414f17ed7281081042542a2c5d.jpg
Hii ilikuwa mara baada ya baraza la mawaziri kuundwa upya baada ya Rais Ali Hassani Mwinyi Kulivunja Baraza la Mawaziri lililokuwa chini ya Waziri mkuu Joseph Warioba
 
Nitarudi baadaye kukichangamka. No likes, no nothing. Akina Carba na Numbisa sijui wako wapi. Si ajabu wapo somewhere wanafakamia ubuyu. Ngoja niende jukwaa la siasa nikaoge povu kidogo. Post kumhusu TL halafu niseme something negative then nisikilizie muziki wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Me nipo naja kwa kuibia ibia
Ukija uje na mrejesho[emoji23]
 
Back
Top Bottom