Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yaani hujui kama jirani yako kipenzi anaumwa?Pole sana nsamaka, Leo ndiyo nimeambiwa kuwa unaumwa. Mwenyezi mungu akufanyie shufwaa upone haraka
[emoji137][emoji137]Lukaku
Habari ya wewe[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Hii ilikuwa mara baada ya baraza la mawaziri kuundwa upya baada ya Rais Ali Hassani Mwinyi Kulivunja Baraza la Mawaziri lililokuwa chini ya Waziri mkuu Joseph Warioba
Nope!Do you have Facebook acc?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ninaharibu vipi mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Me nipo naja kwa kuibia ibiaNitarudi baadaye kukichangamka. No likes, no nothing. Akina Carba na Numbisa sijui wako wapi. Si ajabu wapo somewhere wanafakamia ubuyu. Ngoja niende jukwaa la siasa nikaoge povu kidogo. Post kumhusu TL halafu niseme something negative then nisikilizie muziki wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Kenneth Kaunda, Julius Nyerere, Jomo Kenyata, Milton Obote. Kitambo kileee, nadhani primary hivi
EeehAisee haya mahaba haya yaani najiamini Mungu nisaidie kwa kweli
unajua siziwezi kabisa. Napenda kusoma komenti, kuna vingi najifunzaHahaha namba zinakuyeyusha hata wewe
Kinye Kinye kisonzo, tisa kumi mangara dance .
Heeeee[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] kule kwenye intavyuuu!!!Wapi??
Sijaita mtu mimi[emoji23][emoji23]