Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

a2e79d0f17e4fcd1f6701ebdfb27d98c.jpg
 
Kabakie huko huko Somaliland kasirudi huku kabisa. Kanajifanya kahubiri basi kaeneze injili huko huko kwa Al Shabab mpaka watupe mabomu yao kwa hiari.

Andaeitiini si ajabu ana mamitihani. Akija hapa utasikia tu "Carba, leo ka Jakitoo kako wapi?" Na Carba naye kweli anakwenda kumuita Jakitoo halafu wote wanakaa na kuanza kujadili mambo yasiyoeleweka. Wasiwasi tupu !!!
Na vimaua maua vya uongo uongo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]me naonewa jamani
Halafu hata jakitoo sijamuona leo,hivi yuko wapi?
 
Back
Top Bottom