Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wewe ni midieta shemeji. Kama vile unatumika kuwakutanisha. Pengine ka andaeitini kanakutumia japo hujui. Kajanja sana kale !!!Mimi sipo kwenye hiyo kesi jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Vitisho vinasaidia, ametulia tulii... Hakuna cha Somalia wala KenyaSingo faza sijui yuko wapi aiseeh!
Ahmed Hassan Diria "masharubu" waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa nyuma ya kolimba.Namuona hapo balazo Ahmed hassani Diria
Shimbaaaa.....Hawa ni wahenga na bila shaka wanajuana na kuaminiana. Hakukuwa na kesi hapo na si ajabu ......
Mwacheni ahangaike na Al Shabab wake kwanza. Akirudi hapa hapatakalika kwa gospo unless kama wamemlazimisha kusilimu. Hapo tutegemee vionjo tofauti...Singo faza sijui yuko wapi aiseeh!
Duu, jamani watu wamepindaa!!!
HahahahahaHekima yako ikatawale mkuu. Dharau imezidi, yaani "mpenzi, nakupenda" anayatamka peupeee bila uoga
Na vimaua maua vya uongo uongoKabakie huko huko Somaliland kasirudi huku kabisa. Kanajifanya kahubiri basi kaeneze injili huko huko kwa Al Shabab mpaka watupe mabomu yao kwa hiari.
Andaeitiini si ajabu ana mamitihani. Akija hapa utasikia tu "Carba, leo ka Jakitoo kako wapi?" Na Carba naye kweli anakwenda kumuita Jakitoo halafu wote wanakaa na kuanza kujadili mambo yasiyoeleweka. Wasiwasi tupu !!!
Kama pazia la...... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alinielewa mapema, carba nawe ni mpana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui kwanini nimewaza nilichowazaHawa ni wahenga na bila shaka wanajuana na kuaminiana. Hakukuwa na kesi hapo na si ajabu ......
Hapa poa, hofu kwakoHabari humu!
Mimi nabishaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Ushahidi ninao mkubwa, mimi huwa nafuatiliaga sana.
Mtu akitaka kubisha nafukua... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lishageuka janga. Watu wengi wanapoteza maisha kwenye hizi heka heka za selfieDuu, jamani watu wamepindaa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]me naonewa jamaniKabakie huko huko Somaliland kasirudi huku kabisa. Kanajifanya kahubiri basi kaeneze injili huko huko kwa Al Shabab mpaka watupe mabomu yao kwa hiari.
Andaeitiini si ajabu ana mamitihani. Akija hapa utasikia tu "Carba, leo ka Jakitoo kako wapi?" Na Carba naye kweli anakwenda kumuita Jakitoo halafu wote wanakaa na kuanza kujadili mambo yasiyoeleweka. Wasiwasi tupu !!!