Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mlima Kilimanjaro ni wa 10 kwa urefu duniani ukiwa na futi 19,317.
Milima imekuwa chanzo cha kufanyika mvua kwa kulazimisha upepo wenye mvuke kupanda juu na baadaye kusababisha mvua nyingi katika upande unaopakana na bahari (Windward side), huku upande wa pili ( Leeward side ukipata mvua chache au kukosa kabisa.
 
Jakitoo baby. Naomba penzi letu lirudi kama zamani. Please usiache mbachao wako maridadi kwa vimisala hivi vipitavyo. Nakuomba sana [emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11]
Asiteme bigijii kwankaranga za kuonjeshwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakazia tu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…