myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kweli.....Marejeo ngamani
Kichwa kichafu kakusikiaDawa ya deni kulipa..
12:02Siku imegawika katikati..
Mzee wa liver lete matokeo ya jana sijabahatika kuyapataNiambie Mimi wengine hawaoni
Yupo kwa mnyamaniMogadishu sio pa mchezo mchezo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shemeji Jana nilileta matunda lakini mzee.......[emoji3] [emoji3] alinigomea kuingia
Kuna watu hapa watashuka mapigo ya moyoKweli..dah!
SanaSiku inasonga mbele
Nimevaa bukta fupi kama ya Lodilofa na shati kubwa sana mkuu.Njema kabisa rafiki naona leo umevaa suit nyeusi na viatu vya pink.
Habari rafiki?
Nimevaa bukta fupi kama ya Lodilofa na shati kubwa sana mkuu.Njema kabisa rafiki naona leo umevaa suit nyeusi na viatu vya pink.
Habari rafiki?
Usiende mbaliNatoka kidogo
Mushroom house
Mushroom house
Mwambie mzee wa cha Kingston hapa mwake mwake
Impact ya mane kwa liver ni kubwa sanaSidhani kama kweli kuwa Sadio ndiyo sababu, nadhani hata kama angekuwepo hali hiyo isingebarika