Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

d581311a82d5194e2c5613672e8264de.jpg
Mchinaaaaaa
 
Katembelea dunia nzima,
Anaelewa mitaa mingi sana ya miji mikuu mhimu ya dunia,
Anayataja mashirika yote makubwa ya ndege,
Yupo karibu na viongozi wengi wa nchi yetu!
Kumbe ni msomaji mzuri sana wa ramani za maeneo mbalimbali ya dunia,
Msikilizaji mzuri sana wa radio,
Hajawahi kufika hata nje ya mkoa wa Pwani!
Muongo mkubwa huyo.
Kokote aliko asiaminike.
 
Back
Top Bottom