mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
The one and only yupo mkuuISIS wapi?
The one and only yupo mkuuISIS wapi?
Mzee wa zamaKatembelea dunia nzima,
Anaelewa mitaa mingi sana ya miji mikuu mhimu ya dunia,
Anayataja mashirika yote makubwa ya ndege,
Yupo karibu na viongozi wengi wa nchi yetu!
Kumbe ni msomaji mzuri sana wa ramani za maeneo mbalimbali ya dunia,
Msikilizaji mzuri sana wa radio,
Hajawahi kufika hata nje ya mkoa wa Pwani!
Muongo mkubwa huyo.
Kokote aliko asiaminike.
Kabisa mkuuUzee unakuja hivyooo
Moja mojaBado hujanipa matokeo
Aisee kwema kabisa nduguNilikuwa humu tu kamanda.
Kwema lakini mkuu?

Mambo yapi tenaUnataka kumwambia yale mambo yako sio?