ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Rafiki kicha kikavu hatuonani,
Kwema huko?
Kwema huko?
Swalama mkuuYap mchina mambo vipi habari za Jumapili
Liverpool hovyo sanaMzee wa liver lete matokeo ya jana sijabahatika kuyapata
Teh tehHahahahaha
Uzee unakuja hivyoooSiku inayoyoma
MhimuKwa kila post
Sharti la zambalau kubwaNimevaa bukta fupi kama ya Lodilofa na shati kubwa sana mkuu.
Mzee wa madeni,Hahaha a nadaiwa na nani
amun raAMUN RA
Bado hujanipa matokeoLiverpool hovyo sana
ISIS aje hata siku moja tu atusalimieYupo mkuu atakuja tu busy sana
Watu wamemmiss sana nitamshitua
Kubwa mkuuSharti la zambalau kubwa
Nilikuwa humu tu kamanda.Leo hujaenda mkuu
Unataka kumwambia yale mambo yako sio?ISIS aje hata siku moja tu atusalimie
Huku kwema kabisa.Rafiki kicha kikavu hatuonani,
Kwema huko?
Kumbe ni mbongo ,plz mwambieni anitafuteeeee
Kwa kuwa unajua alipo tunatumia lugha ya kujificha utueleze vyema.Unataka kumwambia yale mambo yako sio?
Tupia picha tukuoneNimevaa bukta fupi kama ya Lodilofa na shati kubwa sana mkuu.
Hahahahaha