Kwani andaeitini ameamka? Nina hofu sana na uimara wa hilo zizi...Yaani leo inabidi nisome id lasivyo sentro patanihusu[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona mmerud pamoja inapendeza
Hahaha jumong mzee wa liver bwanaHuuu ila ikifikaga zamu ya liver ndo unakumbuka movie ya jumong ee
Hahahahaha mechi za man u tu Liverpool lazima niangalia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nipe link niende mwayaKuna ubuyu kuleeee
NimekuhamRamsey kazingua