Kwa kila postLikes
18:1517:36
Kule sehemu sehemu vipi,Acha nijifiche tu hamna namna
Tupo Kichwa kichafu18:00
Subiri mtoto watu watakimbia humu
Mtanipa matokeoNgoma bilabila Chel vs Ars ...ManU na Evt muda wowote
[emoji3] [emoji3] [emoji3] nawona mnaliikana[emoji23][emoji23][emoji23]twende wote basi
Kwa kila postLikes kwa likes
Enzi zile za akina Ian RushJohn Barnes liver & England
IndeedLikes kwa posti
AMUN RA18:03
Italy and USACarlos Valdarrama. Mildifild ya ya kutisha ya Colombia. 1990-1994 World Cup
Hahahahaha mkishinda ni shida nyie watucarbamazepine carbamazepine
Red Devilssss
Man utd 1 leo utakimbia maana adui yangu sana we mwanamke.
Ilikuwa ni mechi ya ufunguzi wa kombe la Dunia 1990 Italy. Cameroon wamefanya mengi mno mwaka huoMechi hii Argentina alipigwa moja
I'm real missing her mpka nakondaMzee wa liver ukiweka picha hii namkumbuka malkia. Mwenyewe lazima aitupie angalau mara 3 kwa siku.[emoji3] [emoji3] wapi Malkia ISIS?
Poul Mfede, Kana Biyiki, Omam Biyiki, Roger Milla, Thomas Nkono & Joseph Antonie BellMakanacky mfede kunde
Salama mkuuZa mchana