mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha
Mzima lakini?Walaa!!! Nipo nipo tu
AMUN RA18:50
Mkuu unanikumbusha mbali sana, nakumbuka jinsi Roger Milla alivyomnyang'anya mpira golkipa wa Colombia Rene Higuita na kutupia, kisha kwenda kukata mauno kwenye kibenderaLouis Mfede, Francois Omam Biyik, Andrew Kana Biyiki, Benjamin Masing, Silily Makanak, Emmanuel Kunde, Nkono, Roger Miller.
Nakumbuka siku Muargentina anaambaa na mpira uoande wa kulia akapigwa kiatu na watu wawili Andrew k Biyik akapata red card.
EPLandjul
SHIMBA YA BUYENZE
Yegomasika
COLE Williams(we najua waangalia mpira?
Nyie wengine mmetekwa ama??[emoji22][emoji22]
Hawa Polisi naona wamekuwa hopelessPolisi wamevamia makao makuu ya Chadema na kukamata watu wote waliokuwa wamevaa Tshirt zenye nembo "PRAY FOR LISSU", wamevamia baadhi ya maduka jirani na makao makuu ya Chadema na kuchukua Tshirt zote zenye nembo "PRAY FOR LISSU" zilizokuwa zikiuzwa!
Hahahahaha wewe kweli au mtu amepora cm yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mods popote mlipo naomba mfute uzi huu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sasa unataka sisi tufanyeje mkuu?Polisi wamevamia makao makuu ya Chadema na kukamata watu wote waliokuwa wamevaa Tshirt zenye nembo "PRAY FOR LISSU", wamevamia baadhi ya maduka jirani na makao makuu ya Chadema na kuchukua Tshirt zote zenye nembo "PRAY FOR LISSU" zilizokuwa zikiuzwa!
Ruta anakuona ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mods popote mlipo naomba mfute uzi huu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mzima kabisa, niaje wewe?Mzima lakini?
Kwani Aseno inacheza leo?